lango moja
Member
- Apr 29, 2013
- 9
- 0
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na majina haya, mwenye kujua hostoria yao au mwenye kitabu chochote naomba anisaidie...
Hao ni characters tu katika igizo la Shakespeare!
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na majina haya, mwenye kujua hostoria yao au mwenye kitabu chochote naomba anisaidie...
sawa sawa mkuu nilijua ni wapenzi kumbe nduguRomeo ni mwanzilishi wa mji maarufu wa Roma ulimwenguni
Na julieti alikuwa ni dada yake Romeo wote walikuwa mashujaa katika mapambano
Ila sijui kama walikuwa wanajua walichokianzisha kitakuja kuwa kikubwa duniani hadi kuutawala ulimwengu
E&K