Kuna kijiji kinaitwa SAMANGA KATIKA TARAFA YA USSERI KATA YA KIRONGO JUU KUNA VIWANDA VYA GONGO WANATUMIA MOLASES NA UREA WATEJA NI WAKENYA NA WATU WA TARAFA YA MASHATI NI BIASHARA INAYOLIPA KUPITA MAELEZO KWA WAKAZ WACHAKARIKAJ WA ROMBO MAOFISA WA POLIS WILAYAN ROMBO WANAPATA FEDHA NYINGI KUTOKANA NA HII BIASHARA YA GONGO KWANI WAKIKAMATA MTAMBO WA GONGO WANA UHAKIKA WA KUPATA LAKI TANO NA KUENDELEAUtalia sana ila hujui usemalo.Gongo hawatumii sukari weye,kuna cheaper products molases.Hii ni uthibtisho kuwa CCM wameshindwa linda mipaka.Kwao kuzuia himo ni rahisi kuliko kuzuia mipaka.Kwa haraka ni kwamba wanabana wale watu kijinga.Kwani mpitisha magendo kumzuia Himo hakumzuii kitu kwani kuna njia kubwa zaidi za kuifikisha border.
Kuna kijiji kinaitwa SAMANGA KATIKA TARAFA YA USSERI KATA YA KIRONGO JUU KUNA VIWANDA VYA GONGO WANATUMIA MOLASES NA UREA WATEJA NI WAKENYA NA WATU WA TARAFA YA MASHATI NI BIASHARA INAYOLIPA KUPITA MAELEZO KWA WAKAZ WACHAKARIKAJ WA ROMBO MAOFISA WA POLIS WILAYAN ROMBO WANAPATA FEDHA NYINGI KUTOKANA NA HII BIASHARA YA GONGO KWANI WAKIKAMATA MTAMBO WA GONGO WANA UHAKIKA WA KUPATA LAKI TANO NA KUENDELEA
Biashara ya molases inafanywa na viongoz wa CCM ndio maana inakua na esckort ya polisi na huwa wanapewa kila mwez kamishen kubwa sana na watengenezaj wa gongo kuhusu viroba ni kweli mkuu wangu wananunua karatas tupu wanawekeateh teh....sukari ghali ndugu yangu,kutengenezea gongo.Wakenye mbona wanapenda sana gongo,kila mwaka kwao wanakufa kwa kwenda mbele.Sasa mbona serikali haizuii molases?CCM hawawezi kuwa na plan yoyote inyoweza kufanya kazi kisawasawa.
Hata viroba si vili evolve toka ktk Gongo?Sasa hivi wana Licence.Hii nchi ni kimeo kila angle.Si mara moja serikali ilishaambiwa kuliko kuzuia maporomoko ni bora wakayaongoza njia, yaani kuliko kuzua gongo ni bora wakawaeleimsha watu kutengeneza Gongo kwa njia sahihi ili kupunguza au kuondo akabisa sumu.Ikibidi hata mitambo midogo ya distillation kam aile iliyopo german na US wakopeshwe halafu walipe kidogo kidogo.
Biashara ya molases inafanywa na viongoz wa CCM ndio maana inakua na esckort ya polisi na huwa wanapewa kila mwez kamishen kubwa sana na watengenezaj wa gongo kuhusu viroba ni kweli mkuu wangu wananunua karatas tupu wanawekea
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu chiko biashara ya mirungi ilikua kama yake na mahawara zake.RPC YOYOTE ANAYEKUJA K'NJARO NI LAZIMA AWE TAJIRI BIASHARA YA MIRUNGI NA GONGO INAWAPATIA PESA NYINGI MNOhaha... siku hizi wananua Spirits hospital kubwa dar kwa madumu makubwa ya litter 20 na kuendelea, wanazipiga water guards na kuzifunga.Jamaa wa viroba walianzia humo kabla ya kutoka na kuweka more official.
CCM si serikali ni kundi la mafia wa mashetani.Utashangaa sukari inazuiliwa kwenda rombo ila inapita rombo kwenda uzwa kenya.Na hii ndio miradi ya ma RPC na wakuu wa mikoa wanaoletwa kilimanjaro.Chico alikuwa na mtandao wa Mirungi na ujambazi hadi akatoka Kilimanjarao na mabillioni.
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu chiko biashara ya mirungi ilikua kama yake na mahawara zake.RPC YOYOTE ANAYEKUJA K'NJARO NI LAZIMA AWE TAJIRI BIASHARA YA MIRUNGI NA GONGO INAWAPATIA PESA NYINGI MNO
Mabasi bdo ypo mkuu yameandikwa IBRA LINE.Kuhusiana na dili la kodi kubwa na biashara haramu KAMANDA TOSSI ALIKUJA AKAWA TOFAUT KWA KUONYESHA KUPAMBANA NA YOTE BILA KUMJALI M2 AU MASLAH YAKE BALI YA TAIFA HIVYO VIGOGO WA MADILI WAKIONGOZWA NA KISUMO' KITOTO NA IBRA WAKAMUONDOA KWA SHINIKIZO KWENDA KWA IGP KU2MIA MGONGO WA CCMHalafu hawa jamaa wakiletwa basi huzuia watu wengine wote mkoani kufanya biashara yoyote,kwa kuwabana ktk kodi na kudai rushwa kubwa.Na hii si kwa hizi dili haramu tuu hata dili halali.Chico alikuwa na mabasi ya kwenda AR basi yalikuwa hayakamatwi hata yakiwachezea faulu wengine,pia wakilala kuwa wanabanwa na magari mengine basi chico huyaletea zengwe ili yasiwe njiani.
Ndio maana nilikuwa nawaambia wtu kuwa ninaona fahari kwa huu mkoa kwa ni pamoja na kupewa dozi mfululizo za kuwakandamiza bado wameweza tawanyika na kubaki ktk control.Wao wanaona kuwa nina majigambo.
Mabasi bdo ypo mkuu yameandikwa IBRA LINE.Kuhusiana na dili la kodi kubwa na biashara haramu KAMANDA TOSSI ALIKUJA AKAWA TOFAUT KWA KUONYESHA KUPAMBANA NA YOTE BILA KUMJALI M2 AU MASLAH YAKE BALI YA TAIFA HIVYO VIGOGO WA MADILI WAKIONGOZWA NA KISUMO' KITOTO NA IBRA WAKAMUONDOA KWA SHINIKIZO KWENDA KWA IGP KU2MIA MGONGO WA CCM
Mwema ni mzaliwa wa njoro katika manispaa ya moshi amejenga bonge la jumba la kifahar ana kiwanda chakutengenezea mikate katika eneo la njoro RPC WA KILIMANJARO ALIYEONDOKA ALIKUA MWANA MTANDAO MZUR KATI BIASHARA HARAMU NA MAJAMBAZ KUMBUKA MKYOMA ALIKUA OCS WA MOSHI MJINI KW HYO KUONDOKA KWAKE NIJAMBO LA NDAN ZAID KWN ANA KASHFA ZA UHUSIANO WA MAPENZ NA MKE WA ASKARI WA KAWAIDA KWA HYO ILIKUWA NI BAHAT MBAYA KUONDOLEWA HPA KWA WANAMTANDAO HARAMUVipi network ya IGP?
Hongera wamethubutu na wemeweza waendelee mkono wa heri upo mikononi mwao
Mwema ni mzaliwa wa njoro katika manispaa ya moshi amejenga bonge la jumba la kifahar ana kiwanda chakutengenezea mikate katika eneo la njoro RPC WA KILIMANJARO ALIYEONDOKA ALIKUA MWANA MTANDAO MZUR KATI BIASHARA HARAMU NA MAJAMBAZ KUMBUKA MKYOMA ALIKUA OCS WA MOSHI MJINI KW HYO KUONDOKA KWAKE NIJAMBO LA NDAN ZAID KWN ANA KASHFA ZA UHUSIANO WA MAPENZ NA MKE WA ASKARI WA KAWAIDA KWA HYO ILIKUWA NI BAHAT MBAYA KUONDOLEWA HPA KWA WANAMTANDAO HARAMU
Mkuu mama SABRINA MUUZAJ MAARUFU WA MADAWA YA KULEVYA AINA ZOTE HAPO USWAHILINI NI NDUGU NA IGP ISITOSHE HUYO MAMA SABRINA ANA UHUSIANO TATA NA MWAKYOMA UHALIFU WOTE KILIMANJARO UNAPANGWA HPO HYO FAMILIA HAIGUSIKI NA AFISA MDOGO WA POLIS HATA TOSS ALIJARIBU KUWAKAMATA AKAONDOLEWANaogopa ongea nisije onekana mdini ila Imani yake imeharibu sana uzalendo wake kitaifa na hata kimkoa, ingawa pia imemsaidia sana kufika hapo alipo.
Kwa anayejua circle ya hawa jamaa pale uswahili moshi au milimani atakuambia ni familia gani.Ni familia zinazouchukia sana Ukristu ingawa wana jamaa wakristu.Ni vigumu mtu kuamini kama anaweza kuwa IGP halafu akatoka bila kuchafua uwiano wa jeshi bila vigezo halali.
Mkuu mama SABRINA MUUZAJ MAARUFU WA MADAWA YA KULEVYA AINA ZOTE HAPO USWAHILINI NI NDUGU NA IGP ISITOSHE HUYO MAMA SABRINA ANA UHUSIANO TATA NA MWAKYOMA UHALIFU WOTE KILIMANJARO UNAPANGWA HPO HYO FAMILIA HAIGUSIKI NA AFISA MDOGO WA POLIS HATA TOSS ALIJARIBU KUWAKAMATA AKAONDOLEWA
kam inafikia point watu wote wa rombo wana access bidhaa na huduma nyingi kutoka kenya kuna haja gani ya kuji account kua wao ni wa tz wakati hadi soda wanakunywa za kenyaBaada ya kunyanyaswa na vizuizi vya polisi vilivyomo mji mdogo wa Himo, viliosababsha upungufu mkubwa wa sukari na bidhaa nyingine za chakula, kiasa cha Rombo jimbo linaloongozwa na CDM, na linalopakana na nchi ya Kenya, kujisiakia wageni nchini mwao Tanzania, wamechukizwa na kitendo cha serikali yao ya Tanzania kuwanyanyapaa na wameamua kupandisha bendera ya Kenya! Source ITV
kam inafikia point watu wote wa rombo wana access bidhaa na huduma nyingi kutoka kenya kuna haja gani ya kuji account kua wao ni wa tz wakati hadi soda wanakunywa za kenya
unawatangazia biashara hapa ??? Tizama unavyojikalanga, sukali ya nini kama si biashara ya Gongo??? na waende kwa mabwana zao Wakikuyu na Wajaluo wakawapikie gongo sio kupandisha bendera ya mabwana zao hapa.