Rombo lekemberia

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,031
Reaction score
1,900
Habari wanajamvi,
Naomba kwa anayepafahamu Lekemberia Rombo,
Mazingira yakoje,shughuli kubwa pale no

Pia nataka kujua kama naweza kubadilishana kituo cha kazi Mara baada ya kukamilisha usajiri
 
Mazingira ni machafu, shughuli kubwa ni kilimo cha ndizi. Watu wa kule ni walevi wa gongo.
Kama hunywi bia usiende, maana utaanzia kwenye gongo.
 
Shukuru ajira lakini eneo mmmmmh
Habari wanajamvi,
Naomba kwa anayepafahamu Lekemberia Rombo,
Mazingira yakoje,shughuli kubwa pale no

Pia nataka kujua kama naweza kubadilishana kituo cha kazi Mara baada ya kukamilisha usajiri
 
Haaaa aisee mkuu shukuru umepata ajira aisee ila hicho ni kitaa changu nakijua vizuri sana
 
Mazingira ni machafu, shughuli kubwa ni kilimo cha ndizi. Watu wa kule ni walevi wa gongo.
Kama hunywi bia usiende, maana utaanzia kwenye gongo.
Hapana mkuu acha kupotosha wilaya ya Rombo ni nzuri kwa maisha hali ya hewa ipo vizuri huduma zote zinapatikana bila shida, ula sijajua hiyo shule ipo maeneo gani
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…