Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.