Romance mathematics

Romance mathematics

Kwa maneno yako, ina maana wanaume wote waliooa ni dumb? Wapi wame wa JF, nina maanisha The Boss, Dark City, Asprin, Kaizer, Mtambuzi na wengineo.


Usiwe na shaka mdogo wangu Kaunga,

Siku zote watoto wakikaa bila kazi ujue watavunja vunja vyombo...

Wenzio tulishazoea na kazi yetu ni ku-replace vilivyovunjwa kwani bila kuvunja ukuaji wao utakuwa wa mashaka!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivi ujue wameshiba chakula cha baba


Ni kweli Kongosho,

Usipowapa chakula ni kasheshe ila ukiwashibisha pia balaa lake si mchezo..

Ila kwa mzazi yeyote, hayo ndiyo malipo na basically ndiyo raha ya kuwa na mtoto...

Ambaye anabisha amtafute mtu anayehangaika kupata uzao....Hata sitaki kufikiria...Yaani unaondoka humu duniani bila kushika poo ya mwanao?? Ni jambo la kuhuzunisha sana!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom