Cwez kupngana na mawazo yko kiongoz, mm nna miaka zaid ya kumi na saba nikiw nnaifatilia hii michezo ktk kuifatilia nikaja kugundua kuna baadhi ya mambo wanaigiza lkn ktk swala la kupgana hasa uwanjan wakat wa kugombea mkanda uwa hakuna maigizo fatilia na ww mwnyew ktk ilo utagundua n ukwel na ktk zile ndoa ambazo uwa wanafunga pale uwanjan nazo kuna wakat uwa wanaigiza na kuna baadh ya mahusiano n ya kweli na yamedum kw kipnd kirefu mfano john cena na nicky bella ambao wanazaid ya miaka mitatu?
etv africa ya sauz ipo kwenye king'amuzi cha azam channel [HASHTAG]#205[/HASHTAG] kwa malipo ya tsh 23,000 wanaonyesha jumapili sa nane mchana na sa 12 kamili jioni..hawa wapo current kidogo sometime baadhi ya game wanakuaga live.Jamani nisaidieni ratiba ya mieleka na chaneli
Post sent using JamiiForums mobile app
Umecheki pambano lao la majuzi ambulance match daah Roman alifanya kitu ya hatari kuligongesha ambulance kwenye ukuta,angemuua strawman manina,kamvunja mguuNa ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"
Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!
Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Niliona hiyo, Hatar sana daaa!Umecheki pambano lao la majuzi ambulance match daah Roman alifanya kitu ya hatari kuligongesha ambulance kwenye ukuta,angemuua strawman manina,kamvunja mguu
Nmeiona[emoji23][emoji23][emoji23]sema reigns alijiingiza mwenyewe kwa ambulace baadae akampa spear[emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaUliangalia [HASHTAG]#Great[/HASHTAG] balls of fire#?
Sikitegemea kama Roman atafanya kitendo kile kwa strawman! Lol watu wana roho ngumu!
Sijawahi ona ambulance match kama hii
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Yeah siraha hapendelei sana, hata iwe extreme rules yeye huwa wa mwisho kutumia!Nmeiona[emoji23][emoji23][emoji23]sema reigns alijiingiza mwenyewe kwa ambulace baadae akampa spear[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka
halafu roman huwaga haanzagi kutumia silaha ,ila ukimuanza anakumaliza
Post sent using JamiiForums mobile app
hivi hana mechi hivi karibuniYeah siraha hapendelei sana, hata iwe extreme rules yeye huwa wa mwisho kutumia!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Anayo, atacheza na samoa Joe, halaf mshindi kati yao atakutana na brock lesner kwenye Summer slams kuwania universal championshiphivi hana mechi hivi karibuni
Post sent using JamiiForums mobile app
Huyo samoa joe simpendiAnayo, atacheza na samoa Joe, halaf mshindi kati yao atakutana na brock lesner kwenye Summer slams kuwania universal championship
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Asanteetv africa ya sauz ipo kwenye king'amuzi cha azam channel [HASHTAG]#205[/HASHTAG] kwa malipo ya tsh 23,000 wanaonyesha jumapili sa nane mchana na sa 12 kamili jioni..hawa wapo current kidogo sometime baadhi ya game wanakuaga live.
Ha ha haaa ila last match samoa Joe alimpiga Roman, sijui hii itakuwajeHuyo samoa joe simpendi
Lesnar ndio kabisaaa nalichukia kama nini
Post sent using JamiiForums mobile app
si ile aliosaidiwa au sio hio?Ha ha haaa ila last match samoa Joe alimpiga Roman, sijui hii itakuwaje
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Nyongeza, kila jumamosi saa 12:00 jioni wanaonyesha smack down, jmapili mda ka huo wanaonesha Monday nigjt raw marudio!
Sikufanikiwa kuiona ila niliona highlight kashinda!si ile aliosaidiwa au sio hio?
Post sent using JamiiForums mobile app
nahisi kama alipata msaadaSikufanikiwa kuiona ila niliona highlight kashinda!
Hii ntaifuatilia vizr
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hao uliowataja wote wanapigwa na roman reigns,watu ambao wanamsumbua huyo kiumbe ni braun strawman tena kwa mbinde ndio anampiga,kuna brock lesnar na samoa joe hao ndio wanaomsumbua roman,waliobaki wote wanakaa even huyo john cenaHana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor