nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 937
We kijana hujui maana ya ushindi.roman reing alimchapa hiyo mechi na akamshinda undertaker hivyo ni bora kuliko hata hao kina landy orton ambaye alichapwa mpaka akfloat na dingi yake pia akafuatwa akachapwa.na ni bora kuliko wengine ambao hawajawahi kumchapa undertakerUnaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.
Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
Uko sahihi kabisa ndo maana wanamuita the young mashine.Kwenye finishing ukiresist ile ngumi ya roman basi anakumaliza na sphere! Hapo huamki!
Wamuulize vizuri undertaker anajua kilichomkuta kwenye Royal Rumble, sphere haijawahi kumwacha mtu salama
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"Uko sahihi kabisa ndo maana wanamuita the young mashine.
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi sana kwanza jamaa anajiamini sana na shoo yake huwa imechangamka knoma na anavyodress unaona huyo kamanda kweli.Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"
Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!
Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
yeah napenda watu wanaovaa kwa staha, sio vichupi chupiUko sahihi sana kwanza jamaa anajiamini sana na shoo yake huwa imechangamka knoma na anavyodress unaona huyo kamanda kweli.
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Hii ambayo alishinda Rand oton?Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"
Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!
Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ndio hiyo, alimtoa undertaker akabaki na rand Orton na bryan wyatt, (kipindi hiki Rand akiwa bado kajiunga na the na the Royal family) akamtoa brayan wakati anarudi Rand Orton akamuwahi kwa RKO akashindaHii ambayo alishinda Rand oton?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Kabisa... WWE wamezid kumbeba ReignsHana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
Yes nmeionaNdio hiyo, alimtoa undertaker akabaki na rand Orton na bryan wyatt, (kipindi hiki Rand akiwa bado kajiunga na the na the Royal family) akamtoa brayan wakati anarudi Rand Orton akamuwahi kwa RKO akashinda
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
braza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha labda mechi za maigizo.Hivi inahitaji akili ya nyongeza kujua kwamba kwenye huu mchezo huwa wanapanga matokeo..!?
Aisee..!
Hapana Reigns anajibeba mwenyewe, Wwe haibebi mtuKabisa... WWE wamezid kumbeba Reigns
Taker kapigwa na lesnar na reign hamna mwingineUnaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.
Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
Nachojua wanapanga match, nani apigane na nani, sasa who wins, I doubt if wanaweza kuwa na influence kubwaHivi inahitaji akili ya nyongeza kujua kwamba kwenye huu mchezo huwa wanapanga matokeo..!?
Aisee..!
Dooh...braza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha labda mechi za maigizo.
mtu unapigwa mpaka unasanda afu unasema matokeo yanapangwa?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Tuseme ukweli jamani Reigns anakaza ,hakupigwa walipigana tofauti na wenzie akina oton nkWalipigana kwenye wrestlemania Block na Roman,alichezea kichapo toka kwa Block lakini akakaza anakaribia kushinda Seth Rolin aka cash in money in the bank brief case akachukua mkanda wa heavy weight
Romaaaaaaaaaaaaaan Reignssssssssssss[emoji7][emoji7]Navyojua mimi Roman Reigns anajua anachokifanya katika mieleka.
Anajua kutengeneza na kuikuza tittle yake kwa jitihada zake binafsi.
Anajituma na anayo nidhamu ya kazi.
Ndiyo maana huwezi kuona mabifu ya kijinga kwake.
Na wengi hudai matokeo yanapangwa....... Nionavyo mimi ni kwamba kuna mechi za kuvutia tu mashabiki ambazo si za ubingwa. Mfano enzi hizo mechi ya kwanza ya Mysterio vs Batista. Lakini ukiangalia kwa undani utaona anatafutwa mtu katika game hizo ambaye atajiingiza ili kupata big match.
Reigns mafanikio yake anayatafuta kwa kujituma tofauti na wengi.
Nikukumbushe kitu kimoja.... Fikiria jinsi Dean Ambrose alivyochukua mkanda kiulaini katika pambano la Roman Reigns na Sett Rollins na jitihada alizofanya Roman kurejesha mkanda kwake. Ila siki zote ili game ipendeze lazima uwe na timu
Post sent using JamiiForums mobile app
Uliangalia [HASHTAG]#Great[/HASHTAG] balls of fire#?Romaaaaaaaaaaaaaan Reignssssssssssss[emoji7][emoji7]
Post sent using JamiiForums mobile app