Roma Mkatoliki Kumbe Angefaa kugombea Urais

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wadau

Kama ni msanii mwenye mapafu ya mbu basi ni Roma Mkatoliki.
..Kwa kuwa anajua kumiliki jukwaa kwa ustadi wa nguvu basi agombee Urais wa Jamhuri kama ndio kigezo.

Mniwie Radhi.
 
nadhani umekosea jukwaa mkuu
 
Ndugu zangu sijawaelewa mnamaanisha nini hasa inamaana yeyote mwenye uwezo wakumiliki jukwaa ndo anasifa ya kua raisi?
 
Wadau

Kama ni msanii mwenye mapafu ya mbu basi ni Roma Mkatoliki.
..Kwa kuwa anajua kumiliki jukwaa kwa ustadi wa nguvu basi agombee Urais wa Jamhuri kama ndio kigezo.

Mniwie Radhi.

Watanzania kiu yetu ni utekelezwaji wa ILANI na vipaumbele vyake..zaidi ya miaka 20 wamekuwa wakitusomea ILANI Zao mwanzo - mwisho na kuzisoma kwambwembwe lakini utekelezaji ZERO
 
Back
Top Bottom