Rolls Royce, Aston Martin na Lamborghini kwa barabara zipi?

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Hawa watoto wanashangaza Sana yaani ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
 
Hujaona barabara za Masaki zilivonyooshwa jamvi? Na zilikua mbovu miaka kibao 😃
Nimeona Mkuu Ile Barabara ya Kilimanyeghe na kule Coco zimewekwa lami nzito
 
Hawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Huoni sahv wanaziba vilaka obay, mikocheni,msasani peninsula 😄
Ila kwa kazi ile wala hazitodumu

Ova
 
kuna story ya zamani kidogo. Mtu mmoja alisema nyumbani kwao 20' ctnr imejazwa mmarekani mtupu. Naona kama zinaanza kuzunguka sasa.
 
Hawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Hawahitaji hizo barabara, ni aina ya utakatishaji fedha na showoff.
 
Angekua Mchaga wala usingestuka kama tunaibiwa. Angejikausha na RAV 4 iliyochoka kama zoba. Huku anaporomosha viwanda vya mabati/vigae, Simenti na kuagiza mabasi toka China.
 
Hawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Na wewe mzee wa kutiki roho imekuuma? Wewe endelea na kampeni ya kutiki tu, si ushapewa baiskeli, ndio thamani yako
 
Hawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Akili zako hazina akili hizo ulizotaja zipo kibao hapa dsm ata kina kizinga na abdalla wanazo sana
 
Hawa watoto wanashangaza Sana yaani ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?

Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
....Umeniwahi ! Na Mimi nimekuwa nikijiuliza Hilo Swali....na Jibu inakuwa...ni USHAMBA TU wa hao Vijana.
Ununue Lamborghini na Ferrari Tanzania ? Kwa Barbara Zipi ? Hio Hela SI ingenunulia Glovu ili kina mama wanaotak kujifungua wasiambiwe kuwa Waende Nyumbani ili Waume zao wawazalishe na Mikasi ! 😏😏😏
 
Aston Martin uipeleke Rufiji kwa Vichengerwa kweli?
 
Back
Top Bottom