Roles of parliament | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Roles of parliament

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwl wa Civics, Jan 22, 2012.

 1. M

  Mwl wa Civics Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge lifanye nini endapo serikali haitatekeleza maamuzi ya kamati teule za bunge mfano katika tuhuma za Rushwa?
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  linapiga kura kutokuwa na imani na serikali!!!!

  but kumbuka serikari ndo hiyohiyo imejaa CCM so sijui kama hizo kura zikipigwa zitaleta madhara

  kwa kifupi kwa mtindo serikari yetu ilivyojaa uwoga hata serikali isipofanyia marekebisha mapendekezo sidhani kama kuna effects sana!! Labda wabunge wa CCM waache uoga!!
   
 3. M

  Mwl wa Civics Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NINI KIFANYIKE endapo maamuzi yatakuwa for Party interest not public interest?
   
 4. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hamna cha kufanya bali kuwachagua wabunge wengine 2015. Msitake kutuletea fujo hapa!
   
 5. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,352
  Trophy Points: 280
  Kamati teule au za bunge si serikali, kwa maana hiyo aziwezi amuru serikali bali inaipa tu mapendekezo serikali, kuchukua au kuto chukua mapendekezo ni jukumu la serikali pekee. Na mpaka hiwe sheria ni serikali itakapo amua kupeleka mapendekezo kujadiliwa bungeni na kupitishwa na wabunge ndio iwe sheria. Vinginevyo bunge aliwezi fanya lolote.

  Hila kwa wenzetu upinzani utumia nyanja hizi for political gains kama ni mapendekezo mazuri na serikali imeyapuuzia.
   
Loading...