Roles model kama Hobbies, Nyamazeni tu

haha mie nimemkumbukia sekeseke la katiba mpya alivyogeukwa lakin yet hakurud nyuma.. kuvuta nini uliacha sigara .. ugoro... bangi

Ugoro sijawai kula ila vingine kwa kweli nimeacha.... msuba na fegi
 
Khaaaa... Huyo rolmodo nliyempata nimeishia kuvunjika tu mbavu lol
 
My role model wangu ni yule mwansheria mkuu wa serikali a.k.a tumbili
 
nitamfata she is the kind of mother I want to become when and if I ever have children.

Ni kweli..na pia number ya watoto iwe kama yake ili ujipime vizuri... hahaha. Maana wadada wengi sikuhizi ni watoto wawili tu.
 
mi role model wangu ANNA MAKINDA
 
Aisee mimi mfalme Daudi ila kwa mujibu wa benteke nimeamua kujidiskolify kimyakimya
Khantwe nafikiri unafit kwa Jembe Daudi...kuna mahali nilisoma kuwa alimpenda mke wa mfayakazi wake...basi akampeleka mme wake jeshini tena kikosi kilecha mbele....yeye huku nyuma akaoa....dah.! Daudi bwana. Ila Mungu alimsamehe
 
Mimi rolomodo wangu ni mimi mwenyewe sababu najiiga na kufuata ninachofanya.

Nikiwa mtu mzima nataka kuwa kama mimi.
 
Khantwe nafikiri unafit kwa Jembe Daudi...kuna mahali nilisoma kuwa alimpenda mke wa mfayakazi wake...basi akampeleka mme wake jeshini tena kikosi kilecha mbele....yeye huku nyuma akaoa....dah.! Daudi bwana. Ila Mungu alimsamehe

Alimsamehe kwaajili ya uaminifu na toba aliyokuwa nayo...I realy admire him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…