mimi nijuavyo hawa jamaa wanakusaidia kuandaa business planing, na maswala mengine, ila dhamana zote ni juu yako na c juu yao.
- wao hufanya kazi na vikundi vya wafugaji na wakulima, wafugaji mbalimbali wanavyo kuwa kwenye vikundi ndo huweza kufanya kazi na pass,
- si jajua kama wanafanya kazi na individual people, kwa sababu hawa pass huwa some time wanapata fund kutoka kwa wazungu na huwa na mashariti kadhaa, na sometime huwa na fund yao ya kutoa mikopo moja kwa moja badala ya kuwa wakala wa crdb