Roho ya korosho

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Korosho ni zao la kusini..

Na kuna mtu nimemsikia akisema kua asilimia kubwa ya watu wa kusini wana roho za korosho. Ndio maana wako teyari kufa kuhakikisha gesi hawapati watz wengin isipokuwa wao
Hiyo ya gesi ni mfano 1 tu lakini
Iko mingi sana
Ni kweli???
 
kweli wanaroho ya korosho...? hapana! unakakumbuka haka kausemi...?"kun nyima kitu ntu wakati unacho, mi'siwezi... baaH som!"
 
Nina wasiwasi na wewe pia una roho ya kongosho...
Ah korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…