Masoud Mwakoba
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 129
- 19
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

Masoud; unaongelea uchoyo au roho mbaya?Ukikutana na mtu mwenye roho mbaya, mchoyo wa chakula utamuona ni binadamu mara mia. Mwenye roho mbaya haoni shida hata kuua, mchoyo anakunyima chakula tu halafu unabaki ulivyo. Cheza na roho mbaya wewe! Kwa chakula ni uchoyo, ambayo nayo ni roho mbaya iliyo katika kiwango cha chini sana katika level ya madhara kwa binadamuAsilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?
Masoud; unaongelea uchoyo au roho mbaya?Ukikutana na mtu mwenye roho mbaya, mchoyo wa chakula utamuona ni binadamu mara mia. Mwenye roho mbaya haoni shida hata kuua, mchoyo anakunyima chakula tu halafu unabaki ulivyo. Cheza na roho mbaya wewe! Kwa chakula ni uchoyo, ambayo nayo ni roho mbaya iliyo katika kiwango cha chini sana katika level ya madhara kwa binadamu
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?
Halafu hao wako wengi humtumikisha hata hg kama mtumwa. Jamani majumba yanaficha mengi haya. Yaani utakuta kasichana ka kazi kanatumikishwa utadhani kaliomba kawe na dhiki. Tunasahau kua hakuna aombaye kuzaliwa kwenye familia fukara au yenye wazazi wasio jali . Roho mbaya ni kama uchawi tena wengine roho mbaya huenda pamoja na ubaguzi, utabaguliwa wewe mpaka utakoma kuringa. Shime tubadilike.Nimekuelewa, watu hawa ni pamoja na wale wanaomtumikisha kijana wa kazi mchana kutwa, saa ya chakula anampa vipande viwili vya nyama.