Roho mbaya ndio hiii

Haya amu na manoaha ili kumaliza ubishi wenu mnaonaje nikiwapeleka kwa mwalimu wenu wa chekechea bi Mwali awape revisheni ya mwandiko?
 
tulikuomba?mimi naona tukupeleke darasa la 3 ukajifunze maana ya ubishi

What?? Tena mimi nilijua tu kuwa wewe kudhihirisha kuwa ni mbishi utabisha hata hilo la kwenda shule na hata sasa najua wewe ni mbishi, ukibisha ndio unatusaidia ku prove ubishi wako
 
What?? Tena mimi nilijua tu kuwa wewe kudhihirisha kuwa ni mbishi utabisha hata hilo la kwenda shule na hata sasa najua wewe ni mbishi, ukibisha ndio unatusaidia ku prove ubishi wako

nabisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…