Roho mbaya kiwango cha PhD

Roho mbaya kiwango cha PhD

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,441
Reaction score
872,037
Tena kwa damu yako mwenyewe
IMG-20180724-WA0103.jpg
 
Naomba nikuulize Mshanajr hivi kuna siri gani ktk hili swala la nyumba au makazi wengine wanaita Mji unakuta mara nyingi warithi wakiuza nyumba ya urithi huwa wanapata taabu inakuwa km laana flani hivi, au warithi wakiikacha nyumba (makazi) ya zamani ya wazee wao wanakuwa na mahangaiko hawafanikiwi.
 
Pale ni shina... Ndio uhai wa wanafamilia ulipoanzia... Pana roho moja kuu inayoishikilia familia... Kupauza ama kupatelekeza ni kuua asili au shina...
 
Nina Nyumba ya Urithi kijijini na mimi naishi Dar, nikiwa huku Dar akili mawazo yote yanakuwa kule kijijini (attraction power flani hivi) na mikosi kuniandama (kupotea kwa hela, kuacha kazi na maradhi) nikienda kule huwa nashangaa roho yangu inakuwa na utulivu ingawa nakua sina hela wala shughuli ya kufanya inanichanganya sana hii situation
 
Nakushauri rudi huko... Future yako na welfare yako viko huko.... Rudi kaanze moja ili upate ruhusa ya kuondoka... Utapate ruhusa? Hiyo sio juu yako kwa sasa...
 
Acha kupoteza wenzako we mzee
 
Back
Top Bottom