Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe

Kuna Sababu kavunja kioo.Yeye sio KICHAA.be honest
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe
Ama kwa hakika wanaume tunazaidi kupoteza haiba za kiume.
Yaani kwa tukio kam hilo umeshindwa kujua nini maamuzi?
Waite traffic waje kupima kwanza.
ni kwl nimechelewa kurud,ila nilimweleza kila k2,sasa huoni hasara na ye2 sote apo mkuu kwanin busara hakutumia