jaman kwa jinc nnavoipenda tz watu wanaojifanya ziwa nyasa ni mali yao wananifanya nifikirie kuua kuna Malawians mpaka sasa wanang'ng'ania ziwa ni lao jaman naumia watanzania naomba ushauri wenu maana nahis moyo wangu unazid kujenga chuki na hawa watu
Wewe sasa nimegundua unataka ukaogelee kwenye maziwa ya kifuani kwake!zitazimwa vp mimi yule mwanamke namshangaa ye si anayo yake kifuan c atuachie tu ziwa letu