Roho inaniuma sana

Shukrn mkuu nitajarbu kuongea nae
 
A
 
Huyo binti kimanzi hakupendi.........kosa kubwa ulilolifanya ni kumuamini na kuwekeza vijipesa vyako kwake........asikuambie mtu wanawake wa kileo hasa hawa wanaotokea hizi nchi zetu za kimasikini wengi wao ni matapeli....jifunze na wewe kuwa tapeli vinginevyo utakuwa unaumizwa kila siku....
 
Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.

Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.

Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofi
akileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.
 
Uliskia wap...? saikology kwny kupelekewa moto...huyo muongo hamna kitu hapo.
 
I see a lovely wife who knew where she was mistaken,
Kama unampenda kweli kaa naye tu muwekane sawa, kuna muda ni michezo ya utoto na ujana tu lakini pia hata changamoto za kimaisha.
Amini ninalokuambia kama unampenda kweli she is the one, naona kwa kiasi gani majuto yake yalipokaa na kutambua kosa lake.
Akiamini umemsamehe kwa dhati amini kauli yangu siku atakuambia ukweli halisia,(japo sio lazima sana)

Kwa kauli zake kuna mawili yapo nayaona

1.anaonyesha kukiri kosa na analijutia kabisa toka ndani ya moyo wake
2.maumivu hayo anayaongelea ndio mtihani wake kwako anahisi hawezi kusamehewa kabisa nawe wala haona kama unaweza ukamuelewa.

Usifikirie juu ya mwanaume mwingine kama ndio kampa machungu wewe fikiria yeye alivyokukosea ndio imempa machungu

Kwa hapo ni juu yako broo kusuka ama kunyoa yangu machache ni hayo
 
Kenge nyie wewe na mwanamke wako, jifunzeni kuandika kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…