Sasa mbona unamuexpose Shamila?Wakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea .
Amuulize hizo mara 2 alizompea mshikaji ni katika muda gani, kama ni ndani ya miezi 6, basi apige hesabu miezi 6 katika miaka yao miwili ya mapenzi inaingia mara ngapi kama ni 4 basi inabidi ampe mara 8 kufidia, kisha ndio waanze upya. 😂Alikwambia hajawahi kufanya sasa kabadili gia angani eti kashawahi mara mbili
Umepigwa
Muombe na wewe akupe mara mbili
Hahah mkuu shukrn kwa ushauri wakoAmuulize hizo mara 2 alizompea mshikaji ni katika muda gani, kama ni ndani ya miezi 6, basi apige hesabu miezi 6 katika miaka yao miwili ya mapenzi inaingia mara ngapi kama ni 4 basi inabidi ampe mara 8 kufidia, kisha ndio waanze upya. [emoji23]