Roho imeniuma sana

Mar 27, 2024
37
104
Wakuu...baada ya kupata iftr nikasema ngoja nisogea hapo baa mdogomdogo niangalia simba na Al ahly...

Nimefika nimetoa buku tano ili muhudumu anirudishie chenchi baada ya kununua maji..yule dada kaja na maji anasema nimempa buku...daah aisee nimeumia Sana Wala Sina sababu ya kumsingizia...moyo unauma mpka nashindwa kuandika dadeki...nimewaambia Sina Nia ya kuwagombanisha na kazi yenu.. anyway

Ulishawahi kukutana na changamoto ya namna hii unabakia kuwa hueleweki na hivyo unakuta hujui kuongea unabakia unawaangalia tu
 
Sisi wanywaji tulishazoea hiyo hali, sasa wewe wa maji ya kunywa hapo umeyatimba
 
Kitu kidogo hicho.Waulize wanywa bia wanavyozidishiwa bili na kutorudishiwa chenji zao.Utacheka kikwenu.Wahudumu/wahujumu hawacheki na mtu.Ni makwenzi kwenda mbele.
Nafahamu mkuu...Ila sikutegemea kwanza ingetokea hivo,..kingine walevi Huwa wako katika starehe kwa hio huchukulia sawa tu...all in all..nimekausha Imani yangu inaniambia ipo sehemu ntaongezewa sababu huwezi Anza kupigana ntakuwa kituko
 
Highway..... Ndugu abiria kuchima dawa na chai/lunch dakika 10 tuuu ....toa hela nasubiria huduma nkaambiwa sijatoa hela .... Niliondoka nkaenda panda gari .....miaka 3 ilopita Hadi Leo nkifika pale siende kununua chochote
Polee Sana hapo Sasa na Mimi nakuelewa inavouma..imagine hata hela kidogo kitendo tu Cha kuzurumiwa Huwa inauma sana
 
Back
Top Bottom