Roho imeniuma sana

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari umefeli intavyuu hatua ya kwanza kabisa... Sidhani kama ndoa utaiweza

Yaani unaenda kumsabahi mgonjwa ukiwa unamtegemea kwa nauli!!? Hata hiyo pochi I bet uliiacha makusudi, hukuisahau...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
WE DADA NI ZEZETA.. UNAKWENDA KUMWONA MGONJWA NA POCHI UNAACHA ILA UNAKUMBUKA KUBEBA NAULI YA KWENDA?

HII STORY YA KUIGIZA

HUWEZ KWENDA KUMWONA MGONJWA NAULI UKIMTEGEMEA YEYE

LABDA UWE MUWAZ KUWA KALA TUNDA HAJAKULIPA
 
Pole sana...

Mvumilie... Labda hana kitu...

Akipata atakupa... Anakupima ajue kama wewe ni wife material...


Cc: mahondaw
 
Na kama mgonjwa angekufa ungepataje hiyo nauli!!!?

Sent from my TV
 
Nauli tu hauna, hata iyo 500 kwenye mpesa hauna, basi we ni mzigo kwa huyo jamaa.
 
Pole mama pita ,,we pita tu..
The world is not fair.

" Dume LA nyani haliogopi Umande"
 
Hakuna mwanaume hapo! Piga chini uangalie ustaarabu wako. Mtu unamwambia huna nauli lakini anakupotezea na papuchi umempa.

 
Usingepata mtu wa kukutumia hata mimi ningekutumia...

Siku ingine usiangaike na rafiki yako nitafute tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimekuwa mgumu kuelewa hiki kisa kwa kweli.

Sasa ulienda kwa mgonjwa ukitegemea angekuwa nauli ya kurudi baada ya kumsabahi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…