elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
hilo game ni balaa alfu lina kutaka utumie akili kizuri zaidi lina njia zaidi ya moja katika kuamliza mission
ngoja nikufuate chemba!!Mndengereko nimekuadd kwenye need for speed world lakini nimeambiwa hiyo user name haipo
Sure Poul, Then kama gta anaweza kucheza mtu anaependa aina yoyote ya games, iwe race games, war games etc nadhani ndio maana gta ni kati ka ya gemu zilizochezwa zaidi .
Vip kuhusu Gameloft? Mi naona wako poa zaidi kuliko hao wengine
Aina yoyote? Kama unapenda soccer games au za basket ball? Pia ujue tofaut ya racing ya need for speed na racing ya gta ni kwamba gta ile sio racing but just a driving... Hakuna hata drifting then hainaga msisimkoooo!! Ukija action mtu anaecheza brothers in arms the art of war akicheza gta hata hisi kama zile n action!!!!!!
Mkuu GTA ni game yenye scripts huru sana kama maisha yetu ya kawaida ingawa ipo kigame game zaidi
GTA ni game inayochezwa na watu wengi zaidi duniani kwasababu tu ni huru, kama unapenda driving unaweza endesha almost chochote kuanzia basikeli hadi ndege, unaweza kucheza game ndani ya game, shooting,swiming and a lot of stuff
Hii ni tofauti na fifa au nsf
Sim za EA zinasubiri sana kwa gta na hizi angalau unaweza kulinganisha na gta
Gta sio game mahususi kwa vita kama brothers in arms nk, gta inajaribu kureflect real life ya kitaa, kupigana kuibiana ubabe kufukuzana na polisi nk
Ni ngumu sana kulinganisha hizi kampuni mbili maana game zao haziendani
Kwa maana ya grafix ea wapo vizuri zaidi kuliko rockstar na hii ni kwasababu rockstar wanajaribu sana kuminimize req zao kukidhi matakwa ya vi pc ili watu wengi wenye pc waweze kizicheza
una gta la zamani mkuu hilo,Uchambuzi mZuri mkuu..
Maana mimi pia nina GTA ina 700mb tu na nacheza ila fifa uinstall tu lazima min space iwe gb kama 6 iyo ni fifa14 bado hiyo fifa15 kwenye vi pentium haichezi hadi mashine za core i_
una gta la zamani mkuu hilo,
gta V liki2a full ni GB 50 ukitafuta ambalo ni repack labda kama GB 30 hivi.
Mndengereko nimekuadd kwenye need for speed world lakini nimeambiwa hiyo user name haipo
Mkuu linapokuja swala la simulation GTA wana wapo free zaidi na wana script bora na huru.
Sims series huwezi kuilinganisha na GTA series