Rockstar Games Vs EA Games....!!!!

Rockstar Games Vs EA Games....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Kama thread inavyojieleza wakuu, unahisi ni kampuni gani kati ya hizo mbili wanatengeneza games zenye graphics za hatari na za ukweli kumshinda mwenzake. As for me, kiukweli EA games nawakubali, ila tatizo lao kubwa mara nyingi wakitoa game mpya wanaconsider platforms nyingine kama PS3, Xbox360 etc. Na wala hawatujali PC gamers. Lakini nimechek Rockstar games mostly wakirelease chombo lazima tu utakikuta na kwenye PC, nawasilisha!
 
donluchesse said:
As for me, kiukweli EA games nawakubali, ila tatizo lao kubwa mara nyingi wakitoa game mpya wanaconsider platforms nyingine kama PS3, Xbox360 etc. Na wala hawatujali PC gamers.!

mbona Ea wana Games nyingi sana za Pc mkuu!! Mfano Fifa na need for speed mm nmeona version nyingi za need for speed kwenye pc same to fifa
 
EA games balaa especially izi games kama battlefield,need for Speed (the run, most wanted 2012, hot pursuit) ambazo zinatumia technology yao mpya ya frostbite
 
EA games balaa especially izi games kama battlefield,need for Speed (the run, most wanted 2012, hot pursuit) ambazo zinatumia technology yao mpya ya frostbite

chek need for speed 6 utadata
 
EA hawana ubaguzi kabisa, tena hao Rockstar ndo wabaguzi wa PC kuliko. angalia GTA IV, wamechukua console game wakapatch ifnaye kazi kwa PC. haina raha kabisa wakati inatakiwa iwe tamu zaidi kwa mouse kuliko controller. naikubali sana EA haswa kwasababu wana variety ya games

viva Battlefield IV
 
mbona Ea wana Games nyingi sana za Pc mkuu!! Mfano Fifa na need for speed mm nmeona version nyingi za need for speed kwenye pc same to fifa

Ur right mkuu lakini kwa mfano ingia saivi kwenye web ya EA games ucheck game nyingi ambazo ni coming soon au mpya zipo kwenye platforms nyingne
 
Wakuu nani kashawahi kucheza Sniper Elite V2?
 
Ur right mkuu lakini kwa mfano ingia saivi kwenye web ya EA games ucheck game nyingi ambazo ni coming soon au mpya zipo kwenye platforms nyingne

Pc na xbox lazma zipewe kipaumbele coz ndo mauzo yana kua mazuri [kiukweli pc games ndo zinawateja sana ila Tatzo huku ku crack ni easy sana ]
 
Chezea EA Games wewe!! Sasa hivi Rockstar games wamesimama sababu tu ya latest release ya GTA angalau 3D graphics ziko advanced, ukikumbuka GTA IV,III na San Andreas the games r way too big so wanabana sana grafix zake sababu ya processing.. Ila EA Games kama umecheza games zao kubwa kubwa wao toka zamani walikua wanatisha sana kwenye 3D... Sema kwa Script ya Games ukweli Rockstar si mchezo
 
EA ndo mpango mzima kwa game na graphics me binafsi nawakubali ingawa Rockstar nao wapo vizuri halaf GTA V inayoachiwa next month nimeona kutakua hamna release ya PC.
 
kwa hayo makampuni mawili hapo ea anamuacha mbali sana rockstar,coz ea ana magame ya kila aina kuanzia sports,athletes,action,war na kila aina ya game,sema hapo kuna mwanaume mmoja hapoa umemsahau anaitwa ubisoft ni balaa anamagame ya balaa na very unique angalia kwa mfano assasin creed,splinter cell au farcry!!!
 
Ea ana games nyingi za aina tofauti tofauti na grfx wako vizuri zaidi

Rockstar wao ni kama wana games za aina moja lakini script za games zao ni kama unapata kila kitu ndani yake

Napenda zaidi Rockstar
 
Mkuu UBi ni wanyama sana nawaelewa
 
Ea ana games nyingi za aina tofauti tofauti na grfx wako vizuri zaidi

Rockstar wao ni kama wana games za aina moja lakini script za games zao ni kama unapata kila kitu ndani yake

Napenda zaidi Rockstar

Umeon mkuu jamaa walivyosimama?
 
kwa hayo makampuni mawili hapo ea anamuacha mbali sana rockstar,coz ea ana magame ya kila aina kuanzia sports,athletes,action,war na kila aina ya game,sema hapo kuna mwanaume mmoja hapoa umemsahau anaitwa ubisoft ni balaa anamagame ya balaa na very unique angalia kwa mfano assasin creed,splinter cell au farcry!!!

Pia Brothers In Arms!! nawaelewa Sana Ubisoft
 
Back
Top Bottom