Rock City Mall-Mwanza

Rock City Mall-Mwanza

LAPF imetoa Pesa za ujenzi, halmashauri ya jiji imetoa Ardhi
 
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015

Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.

Mkuu una uhakika itaanza kazi 15/8/15 maana kimya hatuoni hata matangazo na zimebaki siku 2 tu, hebu tujuze zaidi au inafunguliwa kimyakimya?
 
Mkuu una uhakika itaanza kazi 15/8/15 maana kimya hatuoni hata matangazo na zimebaki siku 2 tu, hebu tujuze zaidi au inafunguliwa kimyakimya?

Ratiba ya babaako KIKWETE imebadilishwa Mpaka tarehe 1 September
 
tarehe 1 september ni leo, mbona bado kimya?
Nimetoka hapo juzi ..Lakini yaonesha baada ya mwaka 2016 ndo itafunction, sbb floor za maduka bado na wanasisitiza mpangaji aweke tiles!! halafu zabuni ya ukodishaji haipo wazi...!!! (ubabaishaji na usumbufu)
supadaudi hebu ongea nao kazi zianze haraka...!!
 
Last edited by a moderator:

Wababaishaji, lakini unaweza ukaja kufanya shopping mbalimbali kwa baadhi ya maduka yalioanza kazi kama vile STARTIMES, SAMSUNG na mengineyo
 
Last edited by a moderator:
Aisayee mwambie huyu supadaudi !!
Nimefika mwenyewe na hakuna hata kijiduka kilichofunguliwa!! ni mabango ya geresha tu!! Sasa Mall lote niende kwa sbb ya Stika/mabango Smarttimes na samsung !! hakuna kitu !!

nipo hapa na nina project ya bismark rock tunajua kila kitu kuhusu hii mall
aaacheee uongooo
 
Attachments

  • 1441107944311.jpg
    1441107944311.jpg
    127.6 KB · Views: 937
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom