Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015
Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.
kumbe bado tu wanakera na wao wanataka na huu mwaka upiteacha kupotosha umma
soko bado alijaisha ndan
mm ni fund na nipo mule ndan kila siku angalia shops hazina hata tiles
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015
Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.
Hivi supa unamtafutia nini mwenyekiti wetu?