McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Zaidi ya asilimia 25 ya fedha inayopanga kutumia Serikali katika mwaka wa fedha 2025/26 itatumika kulipa madeni, hotuba ya bajeti imesema.
Taarifa iliyosomwa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2025/26 ilionyesha Serikali imepanga kutumia Sh14.2 trilioni kwa kulipa deni sawa na robo ya matumizi ya serikali ya Sh56.49 trilioni itakayotumika katika mwaka huo.
Malipo haya ya deni ni ongezeko la asilimia 11 ikinganishwa na Sh12.75 trilioni katika mwaka uliopita. Hata hivyo kasi ya ongezeko la malipo ya dani ni ya chini ikilinganishwa na kasi ya ongezeko la matumizi ya Serikali ya asilimia 13 katika kipindi hicho.