Ndo maana kuna tofauti kubwa kati ya timu za Manchester Utd, Arsenal, Everton na timu nyingine, hawana Chairmans, owners wenye uvumilivu na uaminifu uwezo wa makocha wanaowajiri. Hakuna timu inayoweza kubeba kombe kila mwaka. Hata Fergie mwenyewe ali suffer mwanzoni lakini aliaminiwa na mabosi wake. Wenger naye pamoja na kutobeba hata kikombe cha chai miaka 9 ana watu wanaoamini uwezo wake wa kujenga na kufundisha timu. Moyes mnamwona hajawahi kubeba kombe lakini uwezo wake ulikubaliwa na Fergie. Mancini angepewa muda zaidi kuendelea kufundisha hii timu.