Robert Muhangwa amshambulia Mhe. Zitto Kabwe

Katiba mpya ndio jibu!!

acheni ujinga wa kushabikia watu wenye uchu wa madaraka huku wanaficha fedha za watanzania nje. Nilimuamini sana zzk lakini baada ya kuteuliwa kwenye kamati ya jk amekuwa mtu aliyepoteza mvuto kutokana na kuonjesha fedha za wezi wa nchi hii. Ukishika fedha chafu nawe unakuwa mchafu. Jk alijua kwamba zito atasumbua kizazi cha watoto wao kujimilikisha nchi hii, akamvuta karibu naye amejipakaa matope.
 

huyu si alishawahi kuongea kwamba cdm kuna udini na ukabila? Ukishakuwa karibu na jk lazima uwe wa stail ile tu. Majungu kwa kwenda mbele, hamna kingine.
 
Tunataka cv ya robert mhangwa..mchambuzi sii lzma anayo taaluma fulani!!! Uwezi kuchambua bila kuwa na huo uwezo kitaaluma mkuuu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…