Robert Muhangwa amshambulia Mhe. Zitto Kabwe

Katiba mpya ndio jibu!!

acheni ujinga wa kushabikia watu wenye uchu wa madaraka huku wanaficha fedha za watanzania nje. Nilimuamini sana zzk lakini baada ya kuteuliwa kwenye kamati ya jk amekuwa mtu aliyepoteza mvuto kutokana na kuonjesha fedha za wezi wa nchi hii. Ukishika fedha chafu nawe unakuwa mchafu. Jk alijua kwamba zito atasumbua kizazi cha watoto wao kujimilikisha nchi hii, akamvuta karibu naye amejipakaa matope.
 

Labda tumwuulize anavyopanda NDEGE na PRESIDENT KIKWETE Ina Maana na YEYE ana SHARE HUKO - USWISI ?

Sababu Tanzania Nzima iliishi kwa GIZA bila Machafuko; Mpaka CCM ilipoingiza UDINI na UKABILA - YEYE Sasa YUKO KWENYE NDEGE

NA MH. SPIKA Sri Lanka...

582026_454976244523492_415414152_n.jpg

huyu si alishawahi kuongea kwamba cdm kuna udini na ukabila? Ukishakuwa karibu na jk lazima uwe wa stail ile tu. Majungu kwa kwenda mbele, hamna kingine.
 
Tunataka cv ya robert mhangwa..mchambuzi sii lzma anayo taaluma fulani!!! Uwezi kuchambua bila kuwa na huo uwezo kitaaluma mkuuu!!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom