Robert Mugabe just shouted "We are not gays" in his UN speech

Robert Mugabe just shouted "We are not gays" in his UN speech

Unajuwa Zimbabwe wana hali gani kwa sasa wewe? Kuna mambo anafanya ya kipuuzi huyu mzee akidhani anawakomoa wazungu. Hakuna mtu aliyemlazimisha aruhusu mapenzi ya jinsi moja nchini kwake ( japo wanafanya) kujifanya unawadindia wazunngu wakati hapo hapo unaomba wakufungulie uchumi maana wananchi wanapata tabu.huu mimi nauita ufa.la. Mugabe hanaga pointi ya maana ya kuongea zaidi ya kueneza chuki na ubaguzi dhidi ya watu weupe.

Afeica hatuendelei kwa sababu asilimia kubwa wana mawazo kama yako..
 
........


We equally reject attempts to prescribe 'new rights' that are contrary to our values, norms, traditions, and beliefs. We are not gays! Cooperation and respect for each other will advance the cause of human rights worldwide. Confrontation, vilification, and double-standards will not.


"We are not gays" was not in the prepared remarks issued to journalists ahead of delivery and appears to have been ad-libbed by Mugabe, whose government has been accused of blatant human rights abuses. Male same-sex sexual activity is illegal in the country and LGBT activists face repeated crackdowns and abuse.

Source:Robert Mugabe shouts 'we are not gays' at UN, gets laughs
Max hii hukuiona?
Hii ndio kitu Mugabe anaikataa

Pope Francis to open Church synod amid gay row - BBC News
 
Kweli mnatangulia kuwa wajinga kwanza kabla hamjaanza kufunuliana mavi yenu wanaume kwa wanaume, maana naona hata reasoning yako ambayo wote mnaipenda kuitumia kutetea upuuzi wenu bado ni ya kitoto kabisa; unashindwa kuelewa kuwa haki zina mipaka yake, huwezi kufanya upuuzi halafu unataka equal treatment hapo tayari unakuwa umejiexclude nadhani inabidi wataalam wa law waje wazifafanue vizuri maana mnavyofasili nyie ngedere hata mtoto hawezi kuelewa kihivyo ndio mfano mwingine mnadai mtu akiua yeye asiuliwe eti haki ya kuishi, yaani mnakwenda kinyume nyume tofauti na maana halisi, we umeua yule uliemuua hukujua kuwa umemnyima haki yake ya kuishi! Laana ngedere wajinga nyie!

Ad Hominem!!!
Ndugu usijae na jaziba tuo hoja yako kupinga ni ipi hasw sio kelekelee tu ambazo hamna point.
Waite hao watu wa Law unaowasema.
Umejaa na jazaba kweli ila hoja ya msingi sijaona.
 
Back
Top Bottom