Hopeless mmeshaiishiwa hoja sasa mnategemea mabeberu lakini hamtashinda! Wasaliti walikuwepo hata hapo mwanzo wakina Kambona lakini walipotea tu na Tanzania tunaendelea kama kawaida. Tumeishinda Corona watakuwa wasaliti?Hehee mabeberu wanatisha. Usiombe! Guseni muone Drone itawaezua mchana kweupe.