Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,572 Reaction score 18,001 Jan 9, 2013 #2 Hata ile ya kule kwetu lushoto ina afadhali!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Jan 9, 2013 #3 Hahahaha. Na ukiambiwa jamaa wana appetite ya vita huwezi amini! What else is there to do anyway, mphheeewww!
Hahahaha. Na ukiambiwa jamaa wana appetite ya vita huwezi amini! What else is there to do anyway, mphheeewww!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 10, 2013 #4 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Nilikutana na barabara kama hii huko Asia na nilijipa ahadi kuwa sitokubali tena kusafiri kwa barabara kama hii. Hadi leo nakumbuka nilivyokuwa nikijibana na jirani yangu kwani nilikaa kiti cha dirishani.
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Nilikutana na barabara kama hii huko Asia na nilijipa ahadi kuwa sitokubali tena kusafiri kwa barabara kama hii. Hadi leo nakumbuka nilivyokuwa nikijibana na jirani yangu kwani nilikaa kiti cha dirishani.
Pdraze JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 615 Reaction score 324 Jan 10, 2013 #5 ndo mana panaitwa kabuli