ee kuna kupata na kukosa izo zingine ni mbwembwe za wahenga wakiwatia moyo wajukuuu wasichoke kutafutaHata mimi nakuunga mkono mkuu... kila siku mtu anapoenda kazini kwake moja lazima limpate!
Wew unatak kutwambia riziki ni mafungu mangapi?Wakuu...
The LORD is good!!!
Kuna ka verse kwenye wimbo wa mboso mshedede, "anaye sema riziki mafungu saba, anakupotosha!
Riziki mafungu mawili, kupata au kukosa...."
Halafu
Harmonize naye kuna kaverse akaimba "riziki mafungu saba" wimbo wa
Haunishitui kama sikosei....
Nb.... Nimetumia kama mifano tu wakuu, hapo nilikuwa bado sijaiamini injili, ila verse bado nazikumbuka.
Msiseme oooh!! Mzaburi anasikilizaga bongo.
Ndo mafungu yenyewe hayoMbona naona
Repetition mkuu....