Riz-one umesikia yalomkuta Andrew Banda?

Riz-one umesikia yalomkuta Andrew Banda?

Dr.slaa au EL wakichukua nchi walai jamaa lazima aende ukonga,ila wachovu kama migiro au membe aaaah jamaa atazidi kula shushu..

why Lowasa ampeleke????kweli atakua na ujaisir huo EL?????
 
kwa vile riz ni mwislamu ndio maana mnamuonea.

Afadhali kuwa na dead saint kuliko saint anayeishi kama wewe
Umesoma yote hapo ukaona uislaam tu!!! kweli akili zako ni fupi kuliko kidudu cha mtoto mchanga
 
Back
Top Bottom