Riz one mwanasheria wa tanzanite one.

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Baba yake alisema atawapa wazawa pindi wamalizapo mkataba wao.alakini mpaka muda huu hakuna kinachoendelea kwani wale jamaa walipo maliza mkataba wao,kampuni ilibadili jina na wanaendelea kuchukua asilimali yetu kama vile haina nchi haina mwenyewe.

Mererani ipo mkoa wa manyara na mbunge wa manyara ni bwana chambiri ambae bungeni ni mpiga meza na waitikia ndio hodari.olese sendeka nae ana interest kubwa sana kwenye mgodi wa tanzanite one.

Hii nchi ni yakifamilia na yakishkaji zaidi kiasi kwamba hata miaka ishirini ijayo kama sisiemu wataendelea kungangania madarakani basi nchi itakua ni mapango kila kona kuanzia migodi ya dhahabu mpaka tanzanite.
 
Baba yake alisema atawapa wazawa pindi wamalizapo mkataba wao.alakini mpaka muda huu hakuna kinachoendelea kwani wale jamaa walipo maliza mkataba wao,kampuni ilibadili jina na wanaendelea kuchukua asilimali yetu kama vile haina nchi haina mwenyewe.mererani ipo mkoa wa manyara na mbunge wa manyara ni bwana chambiri ambae bungeni ni mpiga meza na waitikia ndio hodari.olese sendeka nae ana interest kubwa sana kwenye mgodi wa tanzanite one.hii nchi ni yakifamilia na yakishkaji zaidi kiasi kwamba hata miaka ishirini ijayo kama sisiemu wataendelea kungangania madarakani basi nchi itakua ni mapango kila kona kuanzia migodi ya dhahabu mpaka tanzanite.
 
Inakuaje kila kile kizuri kiwe cha familia yao??hii nchi kweli inaelekea kubaya,mtu anaeishabikia sisiemu kweli alaaniwe kwani atakua hajui anfanyanini hapa duniani,
 
ole sendeka ndo msimamizi wa udongo makapi wanaopewa wananchi kama msaada

ameishia kujinufaisha mwenyewe na si mara moja au mbili kuwatisha kwa bastola wanaohoji
 
EE ndio, tanzanite One walitakiwa waondoke 2012.

Sasa wamekula dili na viongozi wetu walaghai, wabinafsi.

Tanzanite One wameuza hisa 20% kwa wajanja wachache watanzania, hao ni vigogo.

Sasa hawaondoki tena.

Wachimbaji wadogo sijui wanasemaje, Wana apolo ni wajasiri sana, sijui kwa nini wako kimya??

Rasilimali zote nzuri zenye pesa ni mali ya Vigogo na familia zao. Wale walalahoi unaewapigia CCm debe sijui kama wana akili timamu, siju kama wana uwezo wa kufikiri??

Wale wananchi masikini wanaopigia CCM kura sijui ni uoga ama hawajui !!
 
msijal wandugu,hakuna marefu yasiyo na ncha,cha muhimu siku yenyewe ikifika tushikamane.
 
Mmh! Nilisikia 20% ya hisa waliuziwa wazawa (wajanja wachache), na Balozi A.Mpungwe ndio M/kiti wa bodi.
Hata hivyo kilichofanyika ni kama kubadilisha wine kwenye chupa kwan kwa sasa wanajiita Richland Resources lakin wawekezaji ni walewale na Promoter wa kampuni hiyo ni IMMA
 
Ndio maana wanachalanga wabunge wa ukombozi kwa mapanga wakitaka kuwauuawa,kuwaenguwa wengine ili kuudhofisha nguvu ya chadema,wakidhani watachukua kila kilicho chini na juu ya ardhi ya Tanzania kwa manufaa yao na vizazi vyoa,ukweli yana mwisho
 
Mbona kichwa habari hii na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti. Vipi?
 
Mbona kichwa habari hii na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti. Vipi?

kuna watanzania wangapi wenye elimu ya kumzidi huyo ritz,kwanza hana uzoefu katika mambo ya sheria iweje awe yeye tu?wewe ni miongoni mwa magamba nini?hii forums ni ya watu wanaotaka changes kwenye taifa letu,alakini kama una interest kwa namna moja au nyingine lazima uta complain.unaijua tanzanite wewe au upoupo tu,
 
Kauli gani wazawa wa huko wanayo?
kama bado waamini Nyerere yuko hai ujue unatakiwa ujiunge ktk kazi ya kuelimisha watanzania.
Kwa kiasi kikubwa kanda ya ziwa wameelewa somo
 
Mwanzisha mada alikosea kidogo mererani ipo simanjiro ipo mkoa wa manyara na mbunge wake ni ole sendeka

ni kweli ,tanzanite one ipo katika jimbo la ole sendeka,angalia watu wa jamii ya wamasai wanavyoteseka kwa kukosa huduma za msingi kama maji,zahanati,shule na umasikini uliokithiri,jamii ya wamasai ndio iliyo kubwa kwa upande wa simanjiro na tegemezi lao kubwa ni mifugo wakati mifugo kwa sasa imeathirika sana na ukame unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.laiti tungekua na viongozi wenye uchungu na taifa letu katika kusimamia raslimali ya nchi yetu ,hakika tusingekua katika hali ngumu ya uchumi na umasikini unaosababishwa na ukosefu wa huduma za kimsingi na kibinadamu
 
Back
Top Bottom