Riwaya

Riwaya

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
661
Jamani naomba mtu anayemkumbuka mwandishi wa riwaya ya kitambo kidogo inaitwa USHINDI WA MAHABA. Actually, niliisoma nikiwa darasa la kwanza nikaisoma tena form two na sasa natamani kuisoma tena nimetafuta hicho kitabu sikipati. Nataka nimtafute mwandishi aniazime copy yake. Kwa mtazamo wangu hapajapata tokea stori nzuri kama ile!!! Please help!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom