Riwaya ya Rosa Mistika

Hiki kitabu sikuwahi kukisoma, ila majuzi nilikutana na mtu flan wa Bakita tukapiga story moja mbili za waandishi wetu, ndio nikaambiwa hiki kitabu kilipewa jina flan la kilatini (Rosa Mystica) ikimaanisha Mystical Rose au kwa Kiswahili ni waridi lenye fumbo. Kwa ufupi prof huyu aligusia kidogo nyumbani anakotokea ila mapana alilenga kukosoa uongozi wa wamisionari waliokuwa wanasimamia chuo ambacho yeye alikuwa anasoma /kufanya kazi hapo Morogoro.
 

RIP Prof Kezilahabi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…