Tunapata mateso ya kujitakia, hatuna budi kusubiri. Natumaini hawa wakuu Willy Gamba 1, kidi kudi, mareche, m2n na wenzao hawatatutesa zaidi kwa kumalizia hii kitu weekend hii.

Wamefanya hadi usingizi wangu uwe wa mang'amung'amu yaani kila baada ya nusu sàa nashtuka naingia jf holaa na lala nashtuka tena naingia holaa dah watu hawa ni wakatili mnooo