Riwaya: The Football

Naona kitu kipya ndani ya nyumba..... Bila shaka itakuwa [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Nemesis,Tumosa,ADK,mbobo,Abuu Share,yusuphu lubuva,Madamu S,Shunie,ram,mbududa,Tater,chodo1990,Toyota escudo,indundidotcom,boy lanugo,Jackal,tembobrek,nipo2,muxa,naima4730
[emoji120] [emoji120] thanks kulubule
 

Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS
BRING BACK OUR GIRLS
KIAPO CHA JASUSI
KIKOSI CHA SIRI
Kumekuwa na matumizi mabaya ya baadhi ya riwaya zangu hapa katika jukwa letu.Riwaya kama The football,I died to save president ,Miss Tanzania zimekuwa zinarushwa humu JF bila ruhusa yangu.Tabia hii si nzuri na inakatisha tamaa wandishi ambao wanaumiza vichwa vyao kutunga hadithi na kuburudisha wasomaji lakini anatokea mtu na kuanza kutumia kazi bila ridhaa ya mwandishi.Ninatoa onyo kwa wale wenye kuendelea na mchezo huu wa kutumia riwaya za watu bila ruhusa tayari wanasheria wanalishughulikia suala hili na hatua stahiki zitachukuliwa kwa yeyote asiyeheshimu kazi za watu
 
Kiongozi tuambie basi tunazipate izo na c tuzisome
 
Kwa kweli hili ni bonge la dude, bonge la simulizi yaani ni kama muvie fulani la kijasusi. Ahsante sana mleta simulizi.
 
Dah Bongo magumashi sana kwahyo mkuu Kulubule alikua anatupa uhondo kiwiziwizi
 
Mkuu patrick kama wewe umeniuzia nimesoma then nikaone nishee na jamaa zangu hapa jukwaani bila ya kuwatoza kitu chochote sizani kama ni tatizo kama alivokuwa anafanya kulubule
 
kitu kipyaa kutoka kwenye magada yakee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…