Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya amabayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share starehe na utamu kama huu na wanajukwaa...!! Ipo mwanzo mwisho, hapana kuishia kanisani..!!