Kifua kinanisumbua.. Kinanibana mpaka nashindwa kupumua vizuri. Nimepiga picha ya X jana majibu ni kwamba moyo hauna tatizo ila kuna sehemu imetanuka kifuani kwa ndani. Wamenipa Dozi nitumie kwa siku tano then nirudi tena Hospitali. Kama kuna Dk hapa msaada wa maelezo