Na usiwe unakimbilia kusoma riwaya hapa jf kabla haijafika tamati, utachoshwa mnoo.Ukiona huwez kumaliza usianzishe mnatuchosha
Nikiona kasimulizi Kako pegi ya 2 sijui Huwa sihangaiki kabisaNa usiwe unakimbilia kusoma riwaya hapa jf kabla haijafika tamati, utachoshwa mnoo.
Kitabu kilisombwa na mafuriko!Miaka Nane Sasa Idawa hajamaliza Hadithi
Na Wewe Umepotea TenaKwa ruhusa yenu jumamosi nitaleta hapa toka tulipoishia Ila kwa picha za kurasa
Ndugu zanguni kaeni mkao wa kula