Riwaya: Msako wa Hayawani

Siamini kama Kassim atashikwa kama kuku.

Hapo patamu!
Ila sidhani kama atashikwa kizembe kama kuku!
Usikute hiko chumba namba 202 kuna jeshi kubwa la Kassim na wenzake.
Tusubiri tuone uhondo.
 
Hapo patamu!
Ila sidhani kama atashikwa kizembe kama kuku!
Usikute hiko chumba namba 202 kuna jeshi kubwa la Kassim na wenzake.
Tusubiri tuone uhondo.
mkuu hicho chumba 202 wameshamchomoa Kembo ametoka bila ubishi. Sasa wanaenda kwa huyo gaidi Kessy. Riwaya inaenda mwisho hii. Kessy hana ujanja kwa komandoo Denny na Inspector Bessy. Ila kipande kinachofuata ni kule hospitali. Nahisi Dr. atashitukiwa.
 
Muwe wapole ndugu hebu tuone leo jumapili. Ngoja tumuamshe, hodi hapo idawa?!? Duh!
 
Last edited by a moderator:
SEHEMU YA THELATHINI.
Baada ya kuhakisha imefika dawa imefika kwenye 2cc mke wa Dr. Makete akastuka akaitazama kwa makini akakumba kitu kisha akamwangalia mmewe macho yakaongea..... ITAENDELEA NDOTO IKINIRUDIA TENA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom