Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Umenikumbusha zamani. Eristablas Elvis musiba alikuwa kiboko kwa riwaya sio mtu wa sport sport. Alitunga riwaya nyingi nzuri badhi ni hii ya kikosi cha kisasi, njama, kufa na kupona na ile ya dunia uwanja wa fujo. Zote zinavutia kwa namna take.
 
Daaaaah!!!
Nafuatiliaje? Shukran sana Mkuu....hii riwaya niliisoma mara ya mwisho nadhani mwaka 86! Nisahau mambo mengi ndiyo nayakumbuka sasa. Kwa Tanzania hadi sasa hakuna kama Musiba kwenye hadithi za kipelelezi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…