Utarudi tu maana nilikuwa nazichanga, soon nitarudi kwa kishindo.





we jamaa unamikwara sana.Itakua poa sanaKwa sababu mmeufufua huhu Uzi ni wazi Pheady atarudi kwa kuwa ni miongoni mwa wapenzi wa riwaya anahisi hajawatendea haki hivyo kuweni na subira kidogo.
ha haaaaa pua na mdomomimi na wewe tena