mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
-
- #321
Ni kali sana. Ndo nimemaliza kusoma season 3.Me ndo NaanZa Kuisoma anaeitaka Amuone Mtunzi Hii iko Sokoni kwa Buku 3 tu
Ni kali sana. Ndo nimemaliza kusoma season 3.
Kinachofurahisha ni kwa wale walioisoma hadithi ya Paniela. Basi kwenye hii Methew na Paniela wamo.
Natamani wiki ijayo ifike mapema tupate S4
Ndio nini sasa hiviiii unakuja kututamanisha we some huko huko ujiulize huko huko hivi si tutakujibu nini jaman na hatujui kituDahhhh Kumbe Paniela Aliachana na Mathew kisa Pesa za Bilionea
Kweli mjasiri haachi Asili
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ndio nini sasa hiviiii unakuja kututamanisha we some huko huko ujiulize huko huko hivi si tutakujibu nini jaman na hatujui kitu
Kweli mke mwee anatuchosha tuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kweli mke mwee anatuchosha tuu
Nitumie inbox bhanaDahhhh Kumbe Paniela Aliachana na Mathew kisa Pesa za Bilionea
Kweli mjasiri haachi Asili
Usiseme hivo mkuuMtu wa maana alikua LEGE tu jamaa muungwana sana lakini haya mengine famba tu yanaroho mbaya km yule jamaa wa magogoni.
Mtu wa maana alikua LEGE tu jamaa muungwana sana lakini haya mengine famba tu yanaroho mbaya km yule jamaa wa magogoni.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]*KUTOKA MASIMULIZI*
TUNAKUJULISHA KUWA SIMULIZI YA THE FOOTBALL SEASON 4 IMETOKA NA UNAWEZA KUIPATA
huna maana kabisa mbwembwe nyingii kumbe misifa yakiboya tu kwanini hukusema mapema kama unaleta nusu ili mtu aamue mwenyewe kusoma au kuacha ona unavyotesa watu' au ndio furaha yako-
Mkuu watu kama hao potezea ujue ebu malizana na tumosaMkuu Kipande nilicho kileta ndo ambacho kisha tungwa na Mtunzi mpaka sasa
Bado tunasubiria mtunz aimalizie kisha tutaodondosha yote hapa na Utakuwa mwisho wa Matuc yako
Ila kama unayo basi ilete nami ntakupa cash [emoji383] 100,000
Wakati mwingine Mikono yako huondoa haiba yako
So plz Fikiri kabla ya Ku type