Mwisho wa siku inategemea na mtazamo wa mtu., nilishawahi kuingia na pens ya timberland ofisi ya lecturer
chuo akagoma kunihudumia hadi nikavae kistaarab.
Af sitaki kuamini hl tangazo maana halina muhuri, sahihi wala logo na ni la 2011
Mimi yalinikuta tena hapo hapo RITA...askari aliniKimbilia nikiwa naelekea kwenye ofisi akaniambia nimevaa nguo imeacha mabega wazi kwa hiyo nitafute mtandio....
Niligoma kutoka na nilihudumiwa vile vile kwa sababu binafsi sikuona ubaya wowote wa nilichokua nimevaa, tena mabega si kwamba niliacha wazi kivile....
Inaudhi sana lakini, wanaacha kuangalia mambo ya msingi wanaangalia kaptula na milegezo na nikab.
Sehemu yenyewe wanyotolea huduma kwa mfano ya vyeti vya kuzaliwa ni nje kabisa na nadhani lilikuwa eneo maalum kwa ajili ya parking!? Sasa wanataka twende maegesho tumevaa suti?
Ok, ka linafanyiwa kazi ila limeandikwa kienyeji sana. Au wameliweka hivyo makusudi ili ikitokea issue walikane akosekane wa kuwajibika
Ndio practice za ofisi zetu nyingi za umma. Kwenye matangazo yao huwa hawaweki logo, mhuri, etc. Lakini kama tangazo limebandikwa kwenye premises za ofisi husika na ambao wamevaa hayo mavazi tajwa wanakataliwa na kuelekezwa kwenye tangazo husika bado utahitaji tangazo liwe na logo, mhuri au sahihi ili uamini?
Ina maana ukienda pale na pensi yako, halafu ukataliwe na kuonyeshwa tangazo na wenye ofisi bado hutaamini ni lao simply because halina sahihi, logo au mhuri?
Naomba ushuhuda wa aliyekosa huduma RITA kwa ajili tu ya uvaaji wake?
Mimi yalinikuta tena hapo hapo RITA...askari aliniKimbilia nikiwa naelekea kwenye ofisi akaniambia nimevaa nguo imeacha mabega wazi kwa hiyo nitafute mtandio....
Niligoma kutoka na nilihudumiwa vile vile kwa sababu binafsi sikuona ubaya wowote wa nilichokua nimevaa, tena mabega si kwamba niliacha wazi kivile....
Inaudhi sana lakini, wanaacha kuangalia mambo ya msingi wanaangalia kaptula na milegezo na nikab.
Sehemu yenyewe wanyotolea huduma kwa mfano ya vyeti vya kuzaliwa ni nje kabisa na nadhani lilikuwa eneo maalum kwa ajili ya parking!? Sasa wanataka twende maegesho tumevaa suti?
Ndio practice za ofisi zetu nyingi za umma. Kwenye matangazo yao huwa hawaweki logo, mhuri, etc. Lakini kama tangazo limebandikwa kwenye premises za ofisi husika na ambao wamevaa hayo mavazi tajwa wanakataliwa na kuelekezwa kwenye tangazo husika bado utahitaji tangazo liwe na logo, mhuri au sahihi ili uamini?
Ina maana ukienda pale na pensi yako, halafu ukataliwe na kuonyeshwa tangazo na wenye ofisi bado hutaamini ni lao simply because halina sahihi, logo au mhuri?
BTW, hivi kirefu cha RITA ni nini? Maana nisije kuwa najadiri kumbe ni dhehebu fulani jpya la dini!!! (LoL)
Mimi yalinikuta tena hapo hapo RITA...askari aliniKimbilia nikiwa naelekea kwenye ofisi akaniambia nimevaa nguo imeacha mabega wazi kwa hiyo nitafute mtandio....
Niligoma kutoka na nilihudumiwa vile vile kwa sababu binafsi sikuona ubaya wowote wa nilichokua nimevaa, tena mabega si kwamba niliacha wazi kivile....
Inaudhi sana lakini, wanaacha kuangalia mambo ya msingi wanaangalia kaptula na milegezo na nikab.
Sehemu yenyewe wanyotolea huduma kwa mfano ya vyeti vya kuzaliwa ni nje kabisa na nadhani lilikuwa eneo maalum kwa ajili ya parking!? Sasa wanataka twende maegesho tumevaa suti?
Hili tangazo halina hadhi yoyote ya kuwa kwenye ofisi ya serikali; kimantiki na kiuandishi
Tangazo linalokiuka haki za watu wazi kwa kisingizio cha maadili! What maadili?
hapa bongo arifu......Mimi siamini kuwa mtu mzima na akili timamu aloyefaulu hata darasa la saba anaweza kuandika vile.
kama ya nimrod mkono...Halafu kofia kubwa "Parma" ndiyo zikoje hizo?
Halafu kofia kubwa "Parma" ndiyo zikoje hizo?
Mtu akienda kitovu nje hawatampa huduma? Kwa sheria gani ya nchi mtu hahudumiwi na serikali kisa maadili?
kama ya nimrod mkono...
Mie nimewahi kumsikia mtu mmoja akirejelea kama zile cowboy hats kuwa ndo parma
Huuuh?
Hiyo hoja ya maadili ya Kitanzania or whatever they call it haina mshiko hata kidogo. Manake tukianza kunyooshea vidole mambo yanayoaminika kuwa ni utovu wa maadili basi ni wachache sana kati yetu atayebaki salama.