RITA yapiga marufuku uvaaji wa mavazi yasiyofaa

Basi kazi mnayo, ukizingatia uvaaji wa sasa hivi ndo, maana hata ajali zinaongezeka...lol!

Acha tu mtuombee maana RITA ndo hivyo wameanza taasisi nyingine zikifuata hamta pata huduma, hata Dr. anaweza asimmtibu mgonjwa kisa kaja kavaa kimini....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Yaani huyo muandishi kwanza hajui kuandika Kiswahili fasaha, hajui kanuni za uandishi, hana mantiki ya kuweza kujua namna ya kutenganisha mavazi ya kiimani na mavazi yasiyofungamana na imani, hana mantiki ya kuelewa kuwa pale ni ofisi ya serikali na haiwezi kunyima watu huduma kwa sababu tu ya "maadili" ambayo hayajaainishwa popote kwenye waraka wa serikali

Hajafika hata la saba huyu, mie nakataa kuwa kafika
Ndo Afisa muajiri huyo wa RITA, mtu mkubwa sana pale
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Yaani huyo muandishi kwanza hajui kuandika Kiswahili fasaha, hajui kanuni za uandishi, hana mantiki ya kuweza kujua namna ya kutenganisha mavazi ya kiimani na mavazi yasiyofungamana na imani, hana mantiki ya kuelewa kuwa pale ni ofisi ya serikali na haiwezi kunyima watu huduma kwa sababu tu ya "maadili" ambayo hayajaainishwa popote kwenye waraka wa serikali

Hajafika hata la saba huyu, mie nakataa kuwa kafika
Kwanza mbali na hayo makosa ya lugha hapo uloainisha, ni nini ninachotoa nguvu kwa hilo tangazo kuwa ''effective''?
yaani mambo yetu ni hovyo jumla aisee
Halafu nadhani hata wale askari hawelewi wanchokifanyia kazi...(maana mie kwanza sikuwa nimevaa 'kitop kilichoacha mabega wazi ')
 
Wewe ulivaa singlet :A S embarassed:

Ofisi za serikali zinajiamulia tu! Usikute haijapitishwa hata kwenye mkutano wa kimaamuzi, wamekaa watu wawili watatu wakajifanyia
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nikab ni vazi hatari sana katika vita dhidi ya ugaidi...ni vigumu kumtambua aliyeivaa...
waweza kupishana na mkeo/mumeo popote bila kumtambua(wagoni waweza kulitumia)...hakuna sababu
ya msingi iwezayo kukubalika ya kufunika uso kininja...

Thinking yako inaitwa double discrimination. Mtu anakuwa discriminate kwanza kwa sababu ya dini yake na pili kwa sababu ya uvaaji wake. Unajaribu kuwa-subject watu wa aina hiyo to double discrimation kwa sababu ya negative portrayals of different people and religions by the West. Full of assumptions and prejuduces. Thinking ya aina hii is very dangerous.

Kwa sababu tuu mtu ni Muislamu akitembea mtaani akiwa amevaa full hijab inayo-cover uso na mwili wake basi the public first perception would be that she might be a suicide bomber. Ni sawa na kwenye black community ambapo a boy or girl who walks down the street in a hooded dress, the public may anticipate belonging to a group with bad intentions to harm. Lakini mtu mweupe akivaa hivyo, tunaona ni sawa tuu. Hizi prejudices and assumptions ni mbaya sana kwa jamii. Epukana na definitions from the West which define what is "normal" bila hata kuangalia cultural differences za watu na jamii.
 
Kwanza mbali na hayo makosa ya lugha hapo uloainisha, ni nini ninachotoa nguvu kwa hilo tangazo kuwa ''effective''?
yaani mambo yetu ni hovyo jumla aisee
Halafu nadhani hata wale askari hawelewi wanchokifanyia kazi...(maana mie kwanza sikuwa nimevaa 'kitop kilichoacha mabega wazi ')
aiseeee siku zoote najua wewe ni HE kumbe ni SHE.......

ENEWEI mie napendaga sana vile vivazi vya banker wa benki fulani aiseee raha kweli kweli....wale RITA wataitiwa polisi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Thinking yako inaitwa double discrimination. Mtu anakuwa discriminate kwanza kwa sababu ya dini yake na pili kwa sababu ya uvaaji wake. Unajaribu kuwa-subject watu wa aina hiyo to double discrimation kwa sababu ya negative portrayals of different people and religions by the West. Full of assumptions and prejuduces. Thinking ya aina hii is very dangerous.

Kwa sababu tuu mtu ni Muislamu akitembea mtaani akiwa amevaa full hijab inayo-cover uso na mwili wake basi the public first perception would be that she might be a suicide bomber. Ni sawa na kwenye black community ambapo a boy or girl who walks down the street in a hooded dress, the public may anticipate belonging to a group with bad intentions to harm. Hizi prejudices and assumptions ni mbaya sana kwa jamii. Epukana definition from the West which defines what is "normal" bila hata kuangalia cultural differences za watu na jamii.

In a nutshell, that is called profiling.
 
Kwanza mbali na hayo makosa ya lugha hapo uloainisha, ni nini ninachotoa nguvu kwa hilo tangazo kuwa ''effective''?
yaani mambo yetu ni hovyo jumla aisee
Halafu nadhani hata wale askari hawelewi wanchokifanyia kazi...(maana mie kwanza sikuwa nimevaa 'kitop kilichoacha mabega wazi ')

Wewe ulivaa singlet :A S embarassed:

Ofisi za serikali zinajiamulia tu! Usikute haijapitishwa hata kwenye mkutano wa kimaamuzi, wamekaa watu wawili watatu wakajifanyia

Hali ikiendelea hivi inaweza kuwa moja ya mianya ya rushwa kupata huduma pale kama umevaa hayo mavazi. Unaingia na kaptula yako pale mlinzi analeta gozi gizi na wewe una haraka zako anadai buku moja unampa, unaigia ndani staff nae anadai umpatie buku tano ili akupe huduma na pensi yako.
 
Wewe ulivaa singlet :A S embarassed:

Ofisi za serikali zinajiamulia tu! Usikute haijapitishwa hata kwenye mkutano wa kimaamuzi, wamekaa watu wawili watatu wakajifanyia
Wapi ndugu, neither of the two...lol ndo maana nasema hata hao 'enforcers' hawajui wanatekeleza agizo gani! Mie nilijivalia kwa mujibu wa 'maadili yangu'

Na hilo la watu kujiamuliakupitisha taratibu fulani kiholela linawezekana, hasa ukizingatia uholela wa utendaji kwenye ofisi za umma.

Mie naona afadhali wangejiwekea wao wafanyakazi aina ya mavazi wanayopaswa kuvaa na sio sisi 'wapita njia'
 
  • Thanks
Reactions: EMT
aiseeee siku zoote najua wewe ni HE kumbe ni SHE.......

ENEWEI mie napendaga sana vile vivazi vya banker wa benki fulani aiseee raha kweli kweli....wale RITA wataitiwa polisi
Aisee YoYo bana. Hakijabadilika kitu lakini.

RITA waitiwe polisi na nani? Hawa hawa watz wakina hewala bwana tusojua hata haki zetu za msingi? Sidhani...
 
Hayo ndiyo maendeleo, wengine wanaweza sema ni civilization. Kuna mahali nilisoma kuwa Kagame kasema hataki ona watu wanavaa mandala mjini Kigali, au mchafumchafu!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ingekuwa kwa wafanyakazi wa RITA sawa lkn kwa akina sisi duh! wamekurupuka. inamaana hata mwanangu wa std 7 akienda nae avae suruali sivyo hatapata huduma?
huu ni utamaduni wa west, utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mashuka, wamama kuvaa kajisketi kanakofunika nyeti na matiti tu. au wa kiarabu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ingekuwa kwa wafanyakazi wa RITA sawa lkn kwa akina sisi duh! wamekurupuka. inamaana hata mwanangu wa std 7 akienda nae avae suruali sivyo atapata huduma?

Kuwa na dress code kwa wahudumiwa ni kawaida na vizuri pia! Ila hiyo dress code ya wahudumiwa inabidi izingatie anuai iliyopo kwenye jamii.

Bila kuwa na dress code ya aina yoyote ile ni kukaribisha balaa. Kwenye nchi za wenzetu walau kwenye sehemu za public huwa na dress code kama 'No shirt, no shoes, no service'.

Maana yake ni ukienda peku peku bila kuvaa shati hupati huduma. Au ukienda peku peku huku umevaa shati bado huduma hutapewa.

Kwa hiyo kuwa na dress code ni jambo jema kabisa. Lakini dress code ya taasisi na ofisi za serikali lazima iwe na common sense na isitiri watu wote.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkurugenzi wa hiyo RITA ni dini gani? Na ni kabila gani? nikijua hilo ndio ninaweza kuchangia chochote
 
..katika mavazi yote waliyoyataja nadhani ni moja la "vitop" ndiyo limekosa maadili.

..sioni kwanini watu wakatazwe kuvaa kaptura, unless kaptura yenyewe ni fupi.

..hivi wamesahau kwamba kaptura ni vazi rasmi ktk shule zetu? au wanakataza kaptura kwa watu wazima?

..kuhusu nikab sina tatizo nayo, ila tatizo la vazi hilo ni pale mhusika anapohitaji kutambuliwa. kwasababu nchi yetu hatuna biometric identification systems utambuzi lazima ufanyike kwa mhusika kuonyesha uso wake.

..binafsi nadhani wangekataza mavazi yanayo-expose viungo vya siri, kama matiti, kitovu, etc etc.

NB:

..hapa DSM tuna mkuu wa mkoa mwenye mavazi yanayoonyesha kifua chake, au matiti.
 
...binafsi nadhani wangekataza mavazi yanayo-expose viungo vya siri, kama matiti, kitovu, etc etc.

Haswa! Pia nadhani mpaka wamefikia hatua ya kuja na dress code lazima watakuwa wameona umuhimu na ulazima wake. Therefore, I think the spirit behind it is a good one. It's just how they went about it.

..hapa DSM tuna mkuu wa mkoa mwenye mavazi yanayoonyesha kifua chake, au matiti.

Hapo you stole my thunder. Nilitaka nami kumrejea huyo jamaa. Juzi juzi hapa kapigwa picha kavaa Kaunda suti yake iliyoacha kifua wazi. That was in poor taste, in my opinion.
 
Mie nilishajivumbulia utamaduni wetu waswahili wa kuthamini wageni zaidi. Nikiingia mahali nikahisi watanimind mavazi yangu, najidai sijui kiswahili. Nawatania kidhungu nalegeza ulimi slang kama Nyani Ngabu, wananipa priority huyooo naishia zangu! Cha kufia! Hamna ufanisi, hamtimizi ahadi kwa wateja mnataka wavai wardrobe zenu! Eboo!
Hilo tangazo mushkeli:
  • Halina nembo ya RITA
  • Halina sahihi ya mtoa tangazo
Hivo huu ni uchonganishi tu.......tuupuuzilie mbali.....vaa NIKABU,SINGLENDI,KAPTURA etc yako nenda kadai cheti cha kuzaliwa
 
Back
Top Bottom