Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 160
Wengine wanashinda kutwa internet cafe bila mafanikio ya kuhakiki chetiVumilia tu soon tutahakiki
Uhakiki PortalWekeni website yao nasi tufanye ivyo
Naitwa RUKIKO LAWRENCE tangu Jumatano nimetuma cheti changu cha kuzaliwa kihakikiwe kwa njia ya mtandao lakini mpaka sasa hakijarudi wala hakuna taarifa yoyote.
Wakati ukimaliza kufanya attachment na kutuma unaambiwa ndani ya siku 3 utapata majibu. Majibu mbona hamna leo ni siku ya 6 tunaenda?
RITA BORESHENI HUDUMA ZENU ZA MTANDAO TWENDE KWA KASI WENGINE TUNAENDA JKT HATUJUI TUNAFANIKIWA LINI KUOMBA MKOPO
Hata ukienda ofisi za RITA au wilaya unaambiwa uende mtandaoni sasa mbona hatuna msaada jamani tusaidieni
Fuatilia mkuu au uliza mwanafunzi aliyemaliza mwaka huu utapata habariWapi umeona unahakiki cheti kwa njia ya mtandao? Mi nilijuwa unaenda kwenye ofisi zao na ile kopi ya cheti chako pamoja na origin halafu wanagonga muhuri kwenye ile copy then unarud kwenye systeam ya loan board kuatach.
Fuatilia mkuu au uliza mwanafunzi aliyemaliza mwaka huu utapata habari
Nimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
PIGA Menyu yako simu mtandao wa TIGO, VODA AU AIRTELNimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
http://uhakiki.rita.go.tzLeta web ya hiyo systeam ya online ambayo inahakiki vyeti vya kuzaliwa kutoka RITA
Bank account yaoNimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
waombaji mara nyingi hawafiki 100kwakihakiki watu milioni 30 mara sh 3000 heaabu itasomeka hivyo
kiwanda kipya hichoView attachment 796204
Unatakiwa kulipia bank ya CRDB or NMBNimeingia na kujisajili,nimeambiwa nitume copy ya cheti na risiti ya malipo. Hapo kwenye malipo sijaelewa na unayalipa wapi?
Nilijua ni zoezi la nchi nzimawaombaji mara nyingi hawafiki 100k
Ndio ni zoezi la nchi nzima ila ni kwa waombaji wapya wa mikopo ya elimu ya juu 2018/19nlijua ni zoezi la nchi nzima
Unatuma copy, majibu ni mpaka siku tatu na Kama upo Dsm ni bora ungeenda RITA kabisa.Eti hivi cheti unatuma copy au unascan originals. em nisaidieni hapo coz nataka kutuma ili kuhakikiwa rita na vipi majibu yaweza kutoka kama baada ya siku ngapi naona hapa tumepewa mwisho jumapili